WHATSAPP KUACHA KUFANYA KAZI KATIKA SIMU HIZI KATIKA MWAKA 2018 - teknomovies
WHATSAPP KUACHA KUFANYA KAZI KATIKA SIMU HIZI KATIKA MWAKA 2018

WHATSAPP KUACHA KUFANYA KAZI KATIKA SIMU HIZI KATIKA MWAKA 2018

Share This
WhatsApp imetangaza kuwa Desemba 31 mwaka 2017 itakuwa mwisho kwa baadhi ya simu kufanya kazi.

Baadhi ya simu hizo ni zote zenye mfumo endeshaji wa Blackberry Os, Blackberry 10, Windows Phone 8.0.

SOMA PIA: RATIBA YA FILAMU MWAKA 2018

Pia ukiachana na hizo, hata matoleo ya Android ya 2.3.7 yataacha kupata Updates za WhatsApp mpaka Februari 1 mwaka 2020.

Kutokana na Taarifa rasmi kutoka WhatsApp ni kuwa kwa muda wowote kuanzia sasa WhatsApp itaacha kufanya kazi katika matoleo ya Simu tajwa kwahiyo ni kwako wewe kufanya maamuzi sahihi sasa.

Souce:teknokona pamoja na picha.

No comments:

Post a Comment

Pages