Pandora, Filamu Kali Kutoka Kwa Wakorea Pita Nayo Hapa Sasa - teknomovies
Pandora, Filamu Kali Kutoka Kwa Wakorea Pita Nayo Hapa Sasa

Pandora, Filamu Kali Kutoka Kwa Wakorea Pita Nayo Hapa Sasa

Share This
Leo nimewakumbuka Wakorea tuangalie pamoja filamu hii ambayo ilitoka mwaka 2016, ikipewa jina la Pandora ambayo ndio ilikuwa Filamu ya kwanza kabisa Korea Ya Kusini kununuliwa na mtandao  maarufu wa Netflix kwaajili ya kuoneshwa pia.

Stori kwa Ufupi.

Inahusu majanga tu kwa lugha rahisi zaidi,  Jamaa anaitwa Jae-hyeok anaishi pamoja na familia yake katika mji mdogo ambapo kuna kiwanda cha mambo ya Nuclear.

Kuna siku tetemeko la ardhi linatokea, linasababisha kiwanda kufumuka as you know kwa namna Nuclear ilivyo na hatari sana katika kuleta madhara ambayo huishi milele.

SOMA PIA: FILAMU 10 ZILIZOINGIZA  MKWANJA ZAIDI MWAKA 2017

Hivyo kuzuia hatari zaidi jamaa na wenzake wanarudi tena kiwandani ili kuzuia hatari zaidi, Je watafanikiwa maana  Nuclear sio ya mchezo mchezo aiseee.

Bonyeza HAPA sasa kupakua Filamu hii ambayo pia ina Subtittle ya kiiingereza kwahiyo usiwaze katika hilo.

No comments:

Post a Comment

Pages