RATIBA YA FILAMU KWA MWAKA MZIMA 2018,IPO HAPA - teknomovies
RATIBA YA FILAMU KWA MWAKA MZIMA 2018,IPO HAPA

RATIBA YA FILAMU KWA MWAKA MZIMA 2018,IPO HAPA

Share This
Mwaka 2018, Ndo huo unaingia tayari, kama kawaida ya wenzetu Ratiba kwa mwaka mzima ya Filamu na Series kuachiwa huwa inajulikana sababu ya Ratiba ya kila Filamu mpaka 2020 huwa inajulikana.

SOMA PIA>> PAKUA FILAMU MBALIMBALI HAPA

Hapa tumekuwekea, Ratiba nzima kwa mwaka 2018 hivyo ni kwako wewe tu kujipanga na kujua lini utaenda katika jumba la Sinema kutazama Filamu hizo.

Filamu kali ambazo utarajie kuziona kwa mwaka 2018 baadhi ni kama;


  • Tomb Raider
  • Ocean's 8
  • Deadpool 2
  • Black Panther
  • Pacific Rim
  • The New Mutants
  • The Incredibles 2
  • Aquaman
  • Mission Impossibles 6
  • The Equalizer 2
  • The Nun ETC
Kuona Ratiba ya kutoka Kwa Filamu mbalimbali bonyeza HAPA sasa.

No comments:

Post a Comment

Pages