DRAKE PAMOJA NA ED SHEERAN,WAKIMBIZA ITUNES FILAMU MOANA JUU - teknomovies
DRAKE PAMOJA NA ED SHEERAN,WAKIMBIZA ITUNES FILAMU MOANA JUU

DRAKE PAMOJA NA ED SHEERAN,WAKIMBIZA ITUNES FILAMU MOANA JUU

Share This
Mwaka ndio unaisha hivyo ambapo tayari data mbalimbali zilishaanza kuachiwa  kuhusu taarifa nyingi zilizotokea kwa mwaka 2017.

Apple nao kupitia soko lao la kuuza masuala mbalimbali ya kiteknolojia tayari imeachia Data zake kwa yaliyotokea kwa mwaka mzima kama Gemu bora,muziki uliopendwa zaidi na mambo mengine pia.

Katika Albamu iliyopendwa zaidi kupitia Itunes imeshikwa na mtu mzima Drake na albamu yake ya More Life huku wimbo uliopendwa zaidi ukishikwa na Ed Sheeran kupitia wimbo wa Shape Of You.
Katika upande wa Filamu, Filamu ya Moana,Star Wars:Rogue One pamoja na Wonder Woman ndizo Filamu zilizokimbiza zaidi kwa kupakuliwa kupitia soko hilo la App.

PITA HAPA>>PAKUA MOANA SASA

Katika upande wa Series, The Walking Dead pamoja na Game of Thrones ndizo zilizokimbiza zaidi.


Katika Data hizo, Apple pia wametaja Apps pamoja na magemu yaliyopendwa zaidi ambapo Instagram pamoja na Snapchat zipo katika Tano Bora.

No comments:

Post a Comment

Pages