Mtoto wa Fetty Wap azaliwa miezi mitatu kabla ya siku yake ya kuzaliwa - teknomovies
Mtoto wa Fetty Wap azaliwa miezi mitatu kabla ya siku yake ya kuzaliwa

Mtoto wa Fetty Wap azaliwa miezi mitatu kabla ya siku yake ya kuzaliwa

Share This
Ni January 7 2018 star kutoka kwenye game ya rap nchini Marekani Fetty Wap na mpenzi wake Alexis Skyy wamempokea mtoto wao miezi mitatu kabla ya siku yake waliotarajia kumpokea mtoto huyo na wamempa jina la Alaiya. Wakali hao wawili walianza mapenzi  kupitia kwenye Tv Show.
Kupitia Insta Live ya mwanadada Alexis kutokea Hollywood siku ya January 2 akiwa amelazwa hospitali alielezea jinsi hali aliyokuwa nayo kabla na baada ya kuwahishwa Hospitali.
Katika video hiyo alisema " Watakuwa na mimi Hospitalini kwa mrefu hivyo mniombee kila kitu  kiwe sawa"
Baada ya mtoto huyo kuzaliwa aliwekwa kwenye kifaa maalum "Incubator" na baadae kwenye video hiyo akatokea Fetty Wap akisema "I was preemie".






No comments:

Post a Comment

Pages