Saudi Arabia : Mchezaji akamatwa kwa kucheza Dab (Dabbing) - teknomovies
Saudi Arabia : Mchezaji akamatwa kwa kucheza Dab (Dabbing)

Saudi Arabia : Mchezaji akamatwa kwa kucheza Dab (Dabbing)

Share This
Aina ya uchezaji wa mziki maarufu kama Dab (Dabbing) imekuwa kivutio kwa watu wengi hasa vijana. Mara nyingi vijana hucheza kuashiria furaha ama utani lakini nchini Saudi Arabia hali imekuwa tofauti kwa mwanasoka mmoja ambae alifanya kitendo hicho.
Mchezaji huyo alifanyiwa mabadiliko na kocha wake lakini alipotoka nje ya uwanja alifanya style ya kudab kitu kilichotafsiriwa kama kosa.

Kupitia mkurugenzi wa kamati ya maadili nchini humo amesema kitendo hicho hakiruhusiwi na ametoa onyo kali kwa vijana wanaopenda kufanya kitendo hicho.
The president of the committee says that this move is a “harmful influence on youth” and has warned, “those who promote it in public events or on social media will face consequences.”
Hii si mara ya kwanza kwa style hiyo ya uchezaji kumtia mtu matatani. Mwanamuziki maarufu na mtangazaji wa Tv nchini humo Abdallah Al Shahani alikamatwa na mamlaka za Saudi Arabia baada ya video yake kusambaa ikimuonyesha aki dab juu ya stage mwezi August 2017.

Wakati Saudi Arabia wakiipiga marufuku Marekani nao wameamua kuipuuza style hiyo.

Usisahau kuacha Comment yako 

No comments:

Post a Comment

Pages