Brad Pitt Aweka Dau $120,000 Ili Atazame "Game of Thrones" - teknomovies
Brad Pitt Aweka Dau $120,000 Ili Atazame "Game of Thrones"

Brad Pitt Aweka Dau $120,000 Ili Atazame "Game of Thrones"

Share This
Muigizaji na Muongozaji wa filamu Brad Pitt alikuwa tayari kutoa dola $ 120,000 (Bilioni 2 za kitanzania) ili atazame Game of Throne na mastaa wawili wa filamu  hiyo Emilia Clarke na Kit Harington kwa bahati mbaya au nzuri akashindwa baada ya kunadi kwani kuna mtu alijitokeza akiwa na  $160,000.

Tukio hilo lilifanyika katika mnada wa Sean Penn ulioandaliwa maalum kwa ajili ya wahanga wa Haiti.

Tukio zima lilifanyika kwa ajili ya kukusanya pesa mabazo zilienda kwenye mashirika J/P HRO na Disaster Relief. Lena Dunham, Arnold Schwarzenegger, Jason Segel, Cconnie Britton, Patricia Arquette, Mark Burnette na Leonardo DiCaprio na walihudhuria.

SOMA PIA: MCHEZAJI AKAMATWA SAUDIA KWA KUCHEZA DAB

Zaidi ya $3 millioni ilikusanywa na kufikia katikati ya tukio Leonardo DiCaprio alipewa heshima kwa projekti zake za kujitolea dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Yeye aliweka dau la $ 80,000 katika mchoro wa Josh Smith lakini akashindwa na Emilia Clarke.

No comments:

Post a Comment

Pages