Avengers:Infinity War Bado Haijatoka Imeweka Rekodi Tayari - teknomovies
Avengers:Infinity War Bado Haijatoka Imeweka Rekodi Tayari

Avengers:Infinity War Bado Haijatoka Imeweka Rekodi Tayari

Share This
Avengers:Infinity War inatarajiwa kuachiwa May 4 Mwaka 2018,Tayari Trailer yake imeachiwa na tayari imeanza kuweka rekodi kadhaa kama Trailer iliyopata Watazamaji wengi kwa masaa 24 Tu tangu kuwekwa kwake.
Baada ya kuwekwa Novemba 29 iliweza kutazamwa na Watu Milioni 230 kwa masaa 24 tu na kuipiku Filamu ya It ambayo yenyewe kwa masaa 24 imetazamwa na watu 197 Milioni.

Katika Listi ya Trailers zilizotazamwa zaidi kwa masaa 24 tangu Kuwekwa sasa imekaa 5 Bora kama Ifuatavyo...

1.Avengers:Infinity War-Watazamaji Milioni230

2.It- Watazamaji Milioni 190

3.Fast  8-Milioni 139

4.Thor:Ragnarok -Milioni 136

5.Beauty and The Beast-Milioni 127 Kutazama Listi Kamili Bonyeza HAPA

Hata Hivyo tegemea muda wowote Listi Hiyo kubadirika sababu kila siku Trailers zinazidi kuwekwa.

Bonyeza Hapo Chini Play Kuweza Kutazama Trailer Yake.

             

No comments:

Post a Comment

Pages