The Foreigner Jiwe Lipya Kutoka Kwa Jackie Chan,Pita Nalo Hapa - teknomovies
The Foreigner Jiwe Lipya Kutoka Kwa Jackie Chan,Pita Nalo Hapa

The Foreigner Jiwe Lipya Kutoka Kwa Jackie Chan,Pita Nalo Hapa

Share This
Tarehe 13 Oktoba mkali Jackie Chan ametuletea mchongo Huu ambao umepewa Jina La The Foreigner.
Stori yake kwa kifupi inamuhusu Jackie,Ambaye anaamua kufanya Uchunguzi juu ya kifo cha  mtoto wake ambapo ishu kubwa ni kila alipokuwa akifanya Uchunguzi anakutana na vikwazo kadhaa kutoka kwa maofisa ambao walikuwa wakiogopa Siri zao kufahamika sababu walikuwa wakijihusisha na mambo ya kigaidi.

SOMA PIA:AJIBADIRISHA KUFANANA KAMA ANGELINA JOLIE,KAWA ZOMBIE

Imefanya Poa sana sokoni mpaka sasa imeuza Dola milioni $135 kutoka Bajeti ndogo kabisa ya Dola milioni $35 hivyo faida imetengenezwa kubwa sana.

Utofauti wa Humu ni kuwa Jackie Chan kawa Serious Zaidi tofauti na Filamu zake zingine ambazo huwa kunakuwa na Comedies za Hapa na Pale.

Bonyeza HAPA sasa kuweza Kushusha Mzigo na Kuenjoy Mwana..!!

No comments:

Post a Comment

Pages