Umeipata Kolabo Hii Ya Ed Sheeran Na Beyonce,Pakua Sasa - teknomovies
Umeipata Kolabo Hii Ya Ed Sheeran Na Beyonce,Pakua Sasa

Umeipata Kolabo Hii Ya Ed Sheeran Na Beyonce,Pakua Sasa

Share This
Moja Ya albamu Bora katika mfumo wa mahadhi ya Rnb, Divide ya mtu mzima Ed Sheeran huwezi kuiacha ambapo ndani yake wimbo wa Perfect unapatikana.
Sasa Novemba 30, Ametuletea zawadi mpya ambapo amefanya Remix na Mkali Beyonce.

PITA HAPA PIA:JUSTICE LEAGUE IPO HAPA SASA#PAKUA

Binafsi nakiri ni Moja wapo ya Remix kali ambazo zimewahi kufanywa na hakika unaweza kukiri Ed pamoja na Beyonce wana Bond nzuri hivyo sitoshangaa nikisikia ngoma nyingine kutoka kwa hawa watu Wawili.

Bonyeza HAPA kuishusha na kuweza Kuisikiliza alafu mshtue na mwana kwa kushare habari hii.

No comments:

Post a Comment

Pages