Faiza Aweka Picha Akiwa Mtupu Baada Ya Kujifungua. - teknomovies
Faiza Aweka Picha Akiwa Mtupu Baada Ya Kujifungua.

Faiza Aweka Picha Akiwa Mtupu Baada Ya Kujifungua.

Share This
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mrembo ambae huwa haishiwi vituko ameshare picha yake ambayo alikuwa katika chumba cha kujifungua maarufu kama Leba pamoja na mtoto wake wa pili.
Katika picha hiyo ameandika "Mimi sio yoyote Ni Faiza #Happy Miezi minne mwanangu #Napenda hako kajasho kananifanya nijisikie Amaizing," alimaliza
Pengine imekuwa ni kawaida kwa watu kushare picha zao za Leba, Lakini hii imeonekana ya utofauti kwa sababu hata yeye pia kaonekana akiwa bado mtupu kitu ambacho kimewashangaza wengi.

Kupitia kisanduku cha Komenti Watu wengi wameonesha hasira zao kutokana na hilo suala hasa Wadada ambao wanasema kuwa Faiza kawadhalilisha.

 SOMA PIA>>FAHAMU MATUMIZI SAHIHI YA VIFAA VYA UREMBO

Lakini ikumbukwe kuwa si mara ya kwanza kwa  Mrembo huyo kufanya vituko hivyo kwani mara kadhaa amekuwa akipiga picha za utupu na kuweka mitandaoni huku ugomvi wake na Baba wa mtoto wake wa kwanza,Mbunge wa Mbeya Mjini Sugu kila siku ukizidi kushika sura mpya.

Nini maoni yako Kuhusu hili,Je ni sahihi kwake alichofanya.?

No comments:

Post a Comment

Pages