24 Hours To Live Mzigo Hatari Usiochosha#DOWNLOAD - teknomovies
24 Hours To Live Mzigo Hatari Usiochosha#DOWNLOAD

24 Hours To Live Mzigo Hatari Usiochosha#DOWNLOAD

Share This
Hii filamu ni kali sana hasa kama unapenda Filamu za Mapigano pamoja na hilo ni stori flani ya kiutofauti sana,
Jamaa alipewa kazi ya kwenda kuua na Boss wake wa zamani ambae alikuwa akimtumia kwa kazi hizo. Lakini kabla hajafanya hivyo alitakiwa kukusanya baadhi ya Taarifa ili kumpata muhusika mkuu.

Lakini wakati akiwa tayari amekamilisha Hilo,ile anataka kurudisha taarifa alipigwa risasi na kufariki.
SOMA PIA:JEEPER CREEPER 3 PAKUA HAPA
Kikundi alichokuwa anafanyia kazi kilikuwa kipo  fresh sana katika masuala ya kiteknolojia hivyo walimfanyia Operation maalumu na kumuwekea kitu kama betri ambayo ilimpa uhai wa muda tu.

Lengo kuu ilikuwa atoe taarifa kwani alikuwa bado hajakamilisha Taarifa na alipofanya hivyo wakataka kumuua,Ambapo aliweza kufanikiwa kuchomoka lakini Lile betri lilikuwa la masaa 24 tu baada ya hapo angefariki..

Sasa anatakiwa afanye kazi kwa masaa 24 je ataweza?Jichukulie mzigo mzima hapo chini Sasa na fanya pia kumpa taarifa mshikaji juu ya zigo hili.
http://dl4.dlsdm.ir/Movie/Foreign/Temporary/24_Hours_to_Live_2017_WEB-DL_720p_MkvCage_(DibaMovie).mkv

No comments:

Post a Comment

Pages