SHAH RUKH KHAN KUFANYIWA UPASUAJI MWINGINE. - teknomovies
SHAH RUKH KHAN KUFANYIWA UPASUAJI MWINGINE.

SHAH RUKH KHAN KUFANYIWA UPASUAJI MWINGINE.

Share This
Star kutoka Bollywood SRK ame share story na mashabiki zake kwenye account yake Twitter kuwa anakwenda kufanyiwa upasuaji kwa mara nyingine.

SRK amepost mkono wake wake wa kushoto ulioandikwa na daktari "Not me" kwa maana kwamba inahitajika afanyiwe upasuaji. Shah Rukh Khan amewaondoa wasiwasi mashabiki zake kuhusu operation hiyo.



Hii ni operation ya pili kwenye mkono huo ingawa daktari amemuondoa wasi wasi kuhusu upasuaji huo.


No comments:

Post a Comment

Pages