ARNOLD SCWARZENEGGER KUWANIA USENETI MWAKA 2018. - teknomovies
ARNOLD SCWARZENEGGER KUWANIA USENETI MWAKA 2018.

ARNOLD SCWARZENEGGER KUWANIA USENETI MWAKA 2018.

Share This


Gavana wa zamani katika jimbo la California kwa tiketi ya Republican Arnold Scwarzenegger amedhamiria kuwania kiti cha useneti mwaka 2018 kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Dianne Feistein.



Grand Old Party (GOP) kimesema Arnold anafikiria kurejea katika ulingo wa siasa.

Mshauri wa GOP Mr Alvaro amesema kuwa kurejea kwa Arnold kutaimarisha ujengaji wa hoja za msingi hasa kwenye awamu hii inayoongozwa na rais Donald Trump.

No comments:

Post a Comment

Pages