MASTAR WA BOLLYWOOD WENYE MKWANJA MREFU ZAIDI. - teknomovies
MASTAR WA BOLLYWOOD WENYE MKWANJA MREFU ZAIDI.

MASTAR WA BOLLYWOOD WENYE MKWANJA MREFU ZAIDI.

Share This
Kuwa muigizaji (actor/actress) ni hatua moja na kuwa muigizaji mwenye kuingiza pesa ndefu ni hatua nyingine. Nimekuandalia list ya mastar 5 wa Bollywood wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi.

5. Akshay Kumar: Ana utajiri wa  $180 Million

Amezaliwa tareh 9 September 1967, jina lake halisi ni Rajiv Hari Om Bhatia lakini tunamfahamu zaidi kwa jina la Akshay. Huyu ni muigizaji, mtayarishaji na mwalimu wa Karate ambae ametokea kwenye filamu zaidi ya 100 za kihindi. Alishakuwa nominated mara kadhaa kwenye tuzo za Filmfare na kufanikiwa kushinda mara mbili. Kiasi cha utajiri anaomiliki ni takribani $ 180 million.


4. Aamir Khan: $185 Million

Aamir Khan ni Indian Actor na producer , alizaliwa tarehe 14 March 1965. Kupitia mafanikio aliyoyapata kwenye industry ya film ameanzisha jumba kubwa la cinema nchini India ambalo ni maarufu mno. Utajiri wa Aamir Khan unakadiriwa kuwa ni $ 185 million. Ili jamaa atokee kwenye movie yako itakulazimu ujipange kutoa $ 100.


3. Salman Khan: 200$ Million

Wazazi walimpa jina la Abdul Rashid Salman Khan alizaliwa tareh 27 December 1965. Mashabiki wa Bollywood mnamfahamu huyu jamaa alivyo romantic kwenye love story. Ameigiza zaidi ya movie 70 na sasa ni mtangazaji wa tv. Utajiri wake pia umechangiwa na kuonekana kwenye matangazo ya kampuni mbali mbali.
2. Amitabh Bachchan: $402 Million

Baba la baba kubwa lao a.k.a Zanjeer Master(Hahaha) amezaliwa 11 October 1942. Jina la passport ni Amitabh  Harivansh Bachchan lakini jina la stage ni Amitabh Bachchan. Kwa sasa si sana kuonekana kwenye movie kwani amewekeza muda mwingi kwenye kipindi chake cha Tv. Alianza kuigiza tangu miaka ya 1970's na utajiri wake ni $ 400 million.


1.Shah Rukh Khan:  600$ Million.

Kabla sijakupa details za huyu jamaa nikufahamishe tu kuwa nusu ya binadamu waliopo duniani wanamfahamu huyu ni nani.
Amezaliwa 2 November 1965 jina halisi likiwa ni Shah Rhukh Khan au SRK. Ni indian actor and so romantic kwenye movie. Anajulikana kama King of Bollywood, ameshatokea zaidi ya kwenye film 300. Utajiri wake ni $ 600 million.



No comments:

Post a Comment

Pages