HIZI NDO TRAILERS ZINAZOONGOZA KWA KUTAZAMWA MARA NYINGI ZAIDI KWA SAA 24 - teknomovies
HIZI NDO TRAILERS ZINAZOONGOZA KWA KUTAZAMWA MARA NYINGI ZAIDI KWA SAA 24

HIZI NDO TRAILERS ZINAZOONGOZA KWA KUTAZAMWA MARA NYINGI ZAIDI KWA SAA 24

Share This
Tumekusogezea Hapa Hii Story Ya Trailer Kumi Bora Ambazo Zimewahi Kutazamwa Kwa Wingi Zaidi Katika Mtandao Wa Kushare Videos Wa Youtube, Toka Mtandao Huo Uanzishwe Mwaka 2005.

Trailers Hizi Tumechukua Zile Zilizopata Views Nyingi Kwa Muda Wa Saa 24 Toka Uwekwe Katika Mtandao Huo.
   
      List Ni Kama Ifuatavyo...

1. Rings Hii Iliwekwa January 23 Mwaka 2017 Ambapo Kwa Saa 24 Tu Ilizoa Views 200.0M


2.The Fate Of The Furious Iliwekwa December 11 Mwaka 2016 Ikapata Views Ya Watu 139M Kwa Saa 24 Tu.

3. Beauty And The Beast Trailer 2 Iliwekwa November 14 Mwaka 2016 Na Ikalamba Views 127.9M

4.Fifty Shades Darker   Hii Trailer Iliwekwa September 13 Mwaka 2016 Na Ikapiga Views 114M

5.Star wars:Force awakens   Hii Iliwekwa October 19 Mwaka 2015 Na Ikapata Views 112.0M

6. Captain America :Civil War Trailer 2 Hii Iliwekwa March 10 Mwaka 2016 Na Views Kwa Saa 24 Nayo Waligonga 94.7M

7. Transformers : The Last Knight Iliwekwa December 5 Mwaka 2016 Na Views Waligonga 93.6M


8.Beauty and The Beast Trailer 1 Iliwekwa May 23 Mwaka 2016 Na Ikapata Views 93.6M

9. Gurdians Of The Galaxy Vol 1 Trailer Yake Iliwekwa December 3 Mwaka 2016 Na Ikapata Views 81.0M

10. Captain America : Civil War Trailer 1 Hii Ilipata Views 61.0 Na Iliwekwa November 24 Mwaka 2015

No comments:

Post a Comment

Pages