DOWNLOAD HAPA NO ESCAPE - teknomovies
DOWNLOAD HAPA NO ESCAPE

DOWNLOAD HAPA NO ESCAPE

Share This
Kama Kawaida Yetu Kila Weekend Tunakuletea Weekend Movie Ambayo Sisi Kama Team Nzima Ya @FrankDaxx255 Tunakua Tumeiona Kama Itakupendeza Mtu Wetu Kutulia Na Kutazama Weekend Kama Hii..

Leo Tupo Na Movie Hii Ya NO ESCAPE.. movie Ambayo Rasmi Ilitoka Mwaka 2015.

   Kutana na Jack , Engineer Wa Mambo Ya Maji Ambaye Anasafiri Na Familia Yake Kwenda Kufanya Kazi Katika Moja Ya Nchi Huko Asia.. Lakini Kumbe Kipindi Anaenda Katika Nchi Hiyo, Mapinduzi Ya Kijeshi Yalikua Yametokea Ambapo Waziri Mkuu Wa Nchi Hiyo Anayoelekea Aliuwawa.

Kufika Katika Nchi Hiyo Kesho Yake Tu Asubuhi Kitu Kilinuka.


Unajua Ni Kitu Gani?? I FULL MOVIE YOTE HII HAPA CLICK HAPO CHINI.

   
          DOWNLOAD HERE

No comments:

Post a Comment

Pages