Fahamu Wasanii Utaowasikia Katika Albamu Ya Diamond, Pamoja Na Idadi Ya Nyimbo - teknomovies
Fahamu Wasanii Utaowasikia Katika Albamu Ya Diamond, Pamoja Na Idadi Ya Nyimbo

Fahamu Wasanii Utaowasikia Katika Albamu Ya Diamond, Pamoja Na Idadi Ya Nyimbo

Share This
Wengi tunaimani watakuwa wanajua Taarifa ya Diamond Platnumz Kuja na Albamu yake ambayo inatarajiwa kuachiwa Tarehe 12 Mwezi Januari Mwaka 2018  ambapo Ameendelea kutoa Update  kidogo Kidogo kuhusu Albamu na Safari Hii katuonesha Nyimbo zitazokuwa Humo.
Albamu hiyo itakuwa na Nyimbo 18 Tu huku Baadhi ya watu ambao kashirikiana Nao ambao bado hatujasikia Kolabo zao ni pamoja na Omarion,Vanessa Mdee,Young Killer, Rayvanny,Jah Prayzah, Miri Ben-Ari ambao utawasikia pindi Utaponunua Albamu Hiyo.
Kwa sasa Diamond Anatamba na ngoma yake ya Waka aliyomshirikisha mtu mzima Rick Ross ambayo pia katika Albamu ipo ikiwa ni Traki ya Pili.

Tazama Hapa Chini Majina Ya Nyimbo

 

No comments:

Post a Comment

Pages