Oscar 2018 : Filamu ya Shape of Water inagombea tuzo kwenye vipengele 13 - teknomovies
Oscar 2018 : Filamu ya Shape of Water inagombea tuzo kwenye vipengele 13

Oscar 2018 : Filamu ya Shape of Water inagombea tuzo kwenye vipengele 13

Share This
Kuelekea tuzo za Oscar ambazo zitafanyika mwezi march mwaka huu teknomovies.com tumeamua kukusogezea karibu baadhi ya dondoo kuhusiana na wanaogombea tuzo hizo pamoja na kazi zao.
Kitu cha kufahamu kwa sasa ni kwamba katika tuzo hizi ambazo ni za 90 kufanyika tangu kuanzishwa kwake ni kwamba filamu ya shape of water imeingia kwenye vipengele 13 ikifuatiwa na Dunkirk yenye vipengele 8 na Three Billboard Outside Ebbing Missouri" kwenye vipengele 7.


Kingine cha kufahamu pia ni kwamba Filamu hizi tatu zimeingia kwenye kinyang'anyiro cha picha bora na nyingine zinazo kamilisha orodha hiyo ni Call Me By Your Name, Darkest Hour, Get Out , Lady Bird, Phantom Thread na The Post.





No comments:

Post a Comment

Pages