Picha :Mastaa Walivyotokelezea kwenye Red Carpet ya Tuzo Za American Music Awards (AMA) 2017 - teknomovies
Picha :Mastaa Walivyotokelezea kwenye Red Carpet ya Tuzo Za American Music Awards (AMA) 2017

Picha :Mastaa Walivyotokelezea kwenye Red Carpet ya Tuzo Za American Music Awards (AMA) 2017

Share This
Novemba 19 Ilikuwa ni siku ya Utoaji Tuzo za American Music Awards(AMA) ambapo Wasanii mbalimbali waliweza kupata tuzo huku wasanii wengine wakitumbuiza vyema katika tamasha hilo.

Ukiachana na burudani zingine,Pia mastaa mbalimbali walijitokeza katika mitupio mbalimbali katika Red Carpet huku kila mmoja akiwa kapiga fasheni yake matata.

Tumekuwekea Hapa chini kwa namna mastaa mbalimbali walivyotokelezea,Kama unapenda Fasheni naimani unaweza jipatia kitu hapa.

List Ya Washindi AMA 2017 Hapa.




























No comments:

Post a Comment

Pages