Mayweather Kapata Dili Rahisi Zaidi Ya Kumtwanga McGregor - teknomovies
Mayweather Kapata Dili Rahisi Zaidi Ya Kumtwanga McGregor

Mayweather Kapata Dili Rahisi Zaidi Ya Kumtwanga McGregor

Share This
Floyd Mayweather anafunga mwaka 2017 kwa kulamba dili jipya la kibiashara ambalo dili hili ni jepesi kuliko la Conor McGregory.

Kampuni ya TBE imemsainisha dili la mchezo wa "Pocker" ambapo sura yake itatokea kwenye game maalum ambazo zitakuwa katika mfumo wa simu. Chanzo cha habari kimesema Mayweather ataonekana sura yake katika game kitu ambacho kitamfanya aingize hela nyingi.

Pocker ni aina ya mchezo unaochezwa sana kwenye casino lakini kampuni ya TBE imeamua kuja na mfumo mpya ambao utapatikana kwenye simu na kuchagua mmoja kati ya wachache waliopo (akiwemo Mayweather) kisha kuanza kumchezesha kamari.


Wachezaji hawatacheza kwa pesa halisi lakini unaweza kutumia pesa kwa ajili ya kununua App kwenye playstore ili uweze kucheza kwenye game iliyo na ufanisi.

Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa updates mbalimbali





No comments:

Post a Comment

Pages