Zari kawasha moto mwingine tena. - teknomovies
Zari kawasha moto mwingine tena.

Zari kawasha moto mwingine tena.

Share This
WAKATI bado watu wakihisi ishu imepoa lakini ni kama bado bado hasa baada ya Zari kutingisha kwenye kurasa yake ya Instagram akianza kama kujibu mapovu ya watu.

“Naona Shetani kwa mbali ananiita,” aliandika katika post yake ya kwanza kabla ya kuweka post nyingine huku akiweka emoji za kucheka kabla ya kudondosha post ya tatu iliyofanya pande mbili,Timu Mond na Timu Mobetto kuanza kutoleana mapovu.

“Shetani kasema twende,Lakini siji na magoti Madale. Enjoy the rest   of your Weekend,Hugs,Kisses and learn not to take social media that serious. Have some laughs and detox the week that was,” aliamaliza.


Mpaka sasa haijafahamika wazi hizo post zilikuwa zikimwendea nani haswa,lakini kitu muhimu katika picha zote hizo Diamond Platnumz aligonga Like.

No comments:

Post a Comment

Pages