Atomic Blonde Shusha Sasa Mzigo Full - teknomovies
Atomic Blonde Shusha Sasa Mzigo Full

Atomic Blonde Shusha Sasa Mzigo Full

Share This

Moja ya filamu bora kwa mwaka 2017 kamwe huwezi kuacha kuitaja filamu hii ya Atomic Blonde ambayo imeweza kufanya vizuri sana sokoni kwa kuingiza Dola milioni $95 kutoka Bajeti ya $30 Dola Milioni.

Filamu Hii ambayo inahusu mambo ya Upelelezi,Mwanadada Charlize Theron Ameweza Kusimamia Mzigo vizuri bila kumsahau mkali James McAvoy na Wakosoaji wengi wameweza kuisifia sana Filamu hii hasa Action zake pamoja na Waigizaji kwa kazi nzuri waliyofanya.

Kama unapenda Filamu za Upelelezi mambo ya Usnitch Snitch kwa sana basi hii ni filamu maalumu kwaajili yako,Ni wewe tu kwako Kuandaa Mb zako za kutosha na Kubofya Hapo Chini Ili Kuweza Kushusha Mzigo Fasta Bila Tatizo Lolote...Enjoy.


Pages