HUYU NDO MTANGAZAJI ANAYELIPWA HELA NYINGI ZAIDI DUNIANI - teknomovies
HUYU NDO MTANGAZAJI ANAYELIPWA HELA NYINGI ZAIDI DUNIANI

HUYU NDO MTANGAZAJI ANAYELIPWA HELA NYINGI ZAIDI DUNIANI

Share This
Matt Lauer ndiye mtangazaji anaelipwa pesa nyingi zaidi nchini Marekani
Kwa mwaka mmoja anapokea Dollar Million 25 ambazo ni sawa na shillingi za kitanzania Billion 50.

Anafanya kipindi cha Today Show kupitia channel ya NBC.

Baada ya kuona umaarufu wake umekua sana Na kupewa ofa nyingi kutoka vituo vingine,Matt Lauer alitishia kuondoka kwny channel hiyo,Na ndipo uongozi ukaamua kumuongeza mshahara maradufu kufikia dollar million 25 kwa mwaka.

Na huwezi amini mtangazaji huyo amekuwa akipokea mshahara huo kwa kufanya kazi kwa siku 4 tu ktk juma.

Pages