HUYU NDO JADOO HALISI,TAZAMA PICHA - teknomovies
HUYU NDO JADOO HALISI,TAZAMA PICHA

HUYU NDO JADOO HALISI,TAZAMA PICHA

Share This
Kazi Yetu Ni Kukupa Burudani Ambayo Itakufanya Kuzidi Kujua Na Kufurahia Ulimwengu Huu Wa Entertainment.

Kwa Mpenzi Yeyote Yule Wa Movie, Jina La Movie Hii Koi Mil Gaya.. Itakua Sio Geni Kwake Hasa Yule Alien Ambaye Ndiye Aliyeipamba Vizuri Kabisa Hii Movie Jadoo.

Idea Na Designing Ya Jadoo Ilifanywa Na Jamaa Mmoja Kutoka Australia Aliyefahamika Kwa Jina La James Colmer.. Lakini Ushawahi Waza Hiki Kimtu Ki Jadoo Ni Kinani??

Kwanza Siri Hii Ilifichwa Na Watengenezaji Wa Movie Mpaka Mwaka 2014 Ambapo Waliamua Kushare Picha Na Kutuonesha Jadoo Mwenyewe..

Take Your Time Na Tazama Picha Hizoo..








No comments:

Post a Comment

Pages