KIJANA ALIYEOA WAKE 4, ALIACHA WOSIA HUU - teknomovies
KIJANA ALIYEOA WAKE 4, ALIACHA WOSIA HUU

KIJANA ALIYEOA WAKE 4, ALIACHA WOSIA HUU

Share This
Kutana na Mr Mare Makhette jina maarufu akiitwa Uyotto, kijana huyu alikuwa anaishi kwenye ndoa za mitala. Ameoa wanawake wanne na wote ni wazungu, makazi yake yapo katika nchi mbili Senegal na Ivory Coast.
Aliamua kutupia picha akiwa na wake zake wanne kwenye mitandao ya kijamii.
Makhette aliwabadilisha dini wake zake na kuwa waislamu huku wote wakiridhia ingawa amevunja sheria za dini ya kiislamu kwa kuoa mtu na dada yake kwa pamoja.
Makhette ana watoto 17 kutoka kwa wanawake tofauti na kati ya hao ni watoto 9 tu ambao amezaa na wake aliowaoa kwa vipindi tofauti.
Makhette amefariki tareh 19th January 2017 kwa ugonjwa wa ukimwi na kati ya wake zake hao, wawili wameshagundulika na maambukizi ya ukimwi.
Amewahusia wake zake kuwa washikamane na dini ya kiislam na wafe wakiwa katika dini hiyo na kuwaomba wapendane na kuheshimiana.

No comments:

Post a Comment

Pages