REVIEW YA MOVIE YA JASON BOURNE,ZIJUE VYEMA - teknomovies
REVIEW YA MOVIE YA JASON BOURNE,ZIJUE VYEMA

REVIEW YA MOVIE YA JASON BOURNE,ZIJUE VYEMA

Share This
Jason Bourne Movies Zipo Tano Mpaka Sasa.

Ya Kwanza, The Bourne Identity Hii Ilitoka June 14 Mwaka 2002. Budget $60M Box Office $214M Hii Story Nzima Inamuhusu Jamaa Akifahamika Kwa Jina La Jason Bourne Ambaye Alikua Ni Former CIA Ambaye Alipata Ugonjwa Uliosabanisha Kupoteza Kumbukumbu Ya Mambo Ya Nyuma, Ambapo Anashangaa Kuona Ana Windwa Hivyo Anaamua Kuanza Kutafuta Identity Yake Who Is?? And Why They Hunt Him??

 Pili Ni, The Bourne Supremacy Hii Ilitoka July 23 Mwaka 2004 Huku Ikitumia Budget $75M Box Office Ikasoma $288M Hii Tunaona Jason Akiendelea Kutafiti Zaidi Kuhusu Mambo Ya Nyuma Na Anaitafiti Zaidi Operation Tredston Ambayo Alipewa Wakati Akiwa CIA Zaidi Ni Kutaka Kujijua Zaidi Why Yupo Katika Hali Hiyo.

 Tatu, Ilitoka August 3 Mwaka 2007 Ilikwenda Kwa Jina La Bourne Ultimatum. Budget Yake $110M Box Office $442.8M Hii Inaendeleza Mlolongo Bado Jason Anaendelea Kutafiti Kuhusu Operation Tredstone Na Why Anatafutwa Ili Kuuwawa?!

 Nne, Ilikwenda Kwa Jina La Bourne Legacy... Hii Ndani Alicheza Jeremy Reener Na Sio Matt Damon Hiyo Ni Baada Ya Matt Damon Kukataa Kucheza Ndani. Ilitoka August 10 Mwaka 2012 Budget $125M Box Office $276.1M

 Tano, Jason Bourne, Hii Matt Damon Alirudi Kushiriki Vyema Na Mchongo Ulitoka July 29 Mwaka 2016... Budget Ikiwa $120M Box Office $415.5M Ndani Tunaona Jason Bado Ana Windwa Na Safari Hii Ana Windwa Sababu Ya Siri Alizokua Nazo Kumuhusu Baba Yake.

3 comments:

Pages