Ripoti : Wanawake Afrika Kusini wanaongoza kutazama picha za Ngono mtandaoni - teknomovies
Ripoti : Wanawake Afrika Kusini wanaongoza kutazama picha za Ngono mtandaoni

Ripoti : Wanawake Afrika Kusini wanaongoza kutazama picha za Ngono mtandaoni

Share This
Mitandao maarufu ya picha za ngono (Porn Websites ) PornHub na XHumster wameachia ripoti ya mwaka 2017 ambayo inaonyesha mabadiliko, ambayo yameshangaza wengi baada ya kuonyesha wanawake ndio wanaongoza kwa kutazama picha za ngono.
PornHub wamepata watembeleaji Billion 28.5 kwenye tovuti yao mwaka jana na kitu kilichotafutwa zaidi kwenye tovuti yao ni "Porn For Women" ikiwa na na maana ya Ngono za Wanawake.

SOMA PIA; FILAMU 10 ZILIZOUZA ZAIDI MWAKA 2017

Tazama Graph inayoonyesha utafutwaji wa video kwenye mtandao wa Pornhub.


XHumster nao wakaja na ripoti yao ya mwaka mzima wa 2017, wao walipata ongezeko la 2.4% ya wanawake wanaotazama picha za ngono na wanawake toka nchini Afrika Kusini, Saudi Arabia na Mexico wameongoza wakati huo wanawake kutoka nchini China 28%






No comments:

Post a Comment

Pages