FILAMU 10 ZILIZOINGIZA MKWANJA MREFU ZAIDI MWAKA 2017 - teknomovies
FILAMU 10 ZILIZOINGIZA MKWANJA MREFU ZAIDI MWAKA 2017

FILAMU 10 ZILIZOINGIZA MKWANJA MREFU ZAIDI MWAKA 2017

Share This
2017 umekuwa mwaka wa mafanikio katika muziki na filamu kwa ujumla. Get Out, Justice League, Blade Runner 2049, Baby Driver, It na zingine kibao ni baadhi ya filamu zilizoongelewa sana.
Mwishoni mwa mwaka 2017 Star Wars, The last Jedi iliingia kwenye majumba ya sinema na iliingiza takribani Tsh bilioni 447 katika weekend ya kwanza kwenye Box Office. Unaweza ukadhani pesa hiyo inaweza kupelekea ionekane hata Top 5.

Mtandao wa IMDB umetoa list ya movie 10 zilizofanya vizuri mwaka 2107 Hollywood. List hiyo imejumuisha filamu zilizotoka kuanzia January 1 2017 hadi December 31 2017.

NB ; Gross ni kiwango chote cha pesa bila makato yoyote na kiwango kinachoonekana ni kiwango kilichoingia kwa mapato ya Marekani tu na sio kwa duniani.

1. Beauty and the Beast.
Gross : Tsh 1.1 Trilioni

2. Wonder Woman
Gross : Tsh 922 Billion

3. Guardian of the Galaxy Vol 2.
Gross : Tsh 871 Billion

4. Spider Man : Homecoming
Gross : Tsh 747 Billion

5. It
Gross : Tsh 731 Billion

6. Thor: Ragnarok
Gross : Tsh 688 Billion

7. Star Wars : The last Jedi
Gross : Tsh 622 Billion

8. Despicable Me 3
Gross : Tsh 509 Billion

9. Logan
Gross: Tsh 505.7 Billion

10. The fate of the Furious
Gross : Tsh 504.5 Billion



No comments:

Post a Comment

Pages