JOH MAKINI AMKANA KABISA MIMI MARS - teknomovies
demo-image
d04004465e6a855ef165f1da113f58c9

JOH MAKINI AMKANA KABISA MIMI MARS

Share This
Rapa ambae anatamba na ngoma  ya Mipaka, Joh Makini amepangua tetesi  ambazo zimeanza kusambaa katika mitandao mbalimbali zikimuhusisha kuwa na mahusiano ya Kimapenzi na mdogo wa Vanessa Mdee, Mimi Mars


Akijibu tetesi hizo Joh Makini anashangaa taarifa hizo na kukiri kuwa hakuna ukweli wowote sababu Mimi Mars kwake anamchukulia kama mdogo wake.
24177458_1735156336790959_562082017840201728_n
“A Big No, Mimi Mars ni kama mdogo wangu, kwanza sisi ni kama Familia moja hiyo haiwezi kutokea,”alisema.

Joh Makini ni mojawapo wa Wasanii wachache ambao ishu za mahusiano yake yamekuwa ya siri sana hivyo uwepo wa tetesi hizo umewashtua baadhi ya mashabiki zake.
                                              
Comment Using!!

Pages