Donald Trump alikuwa akilazimisha aonekane kwenye movie - teknomovies
Donald Trump alikuwa akilazimisha aonekane kwenye movie

Donald Trump alikuwa akilazimisha aonekane kwenye movie

Share This
Muigizaji Matt Darmon maarufu kwa kuigiza "The Great Wall" amesema kuwa Donald Trump alikuwa akilazimisha kutokea kwenye movie ambazo location inakuwa kwenye moja ya milki yake.
Donald Trump rais wa 45 wa taifa la Marekani na ni mwekezaji mkubwa nchini humo. Trump anamiliki mali nyingi ikiwemo majengo kama Hotel ya Manhattan ambayo ilitumika kuigiza movie ya Home Alone 2 ambapo katika movie hiyo Trump alionekana kwa sekunde sita tu.
Matt Darmon
Matt Darmon aliweka wazi kuwa ili upate ruhusa ya kutumia mali ya Trump kama majengo basi ni lazima mumuandalie Scene hata kama hamkujipanga kwa hilo, hivyo baadhi ya movie wanamuweka kwenye scene kisha kwenye editing wanamkata. Lakini baadhi movie zilitoka nae akiwepo.




No comments:

Post a Comment

Pages