Picha : Watu Maarufu Waliogoma Kuzeeka Kabisa - teknomovies
Picha : Watu Maarufu Waliogoma Kuzeeka Kabisa

Picha : Watu Maarufu Waliogoma Kuzeeka Kabisa

Share This
Duniani Ukijaliwa kupata umri mrefu kuanzia utoto basi ni lazima utazeeka. 

Na katika vipindi vyote vya ukuaji kuna aina yake ya kimuonekano. Mfano ukiwa mtoto utakuwa na muonekano wa kitoto, ukiwa kijana utakuwa na muonekano wa kijana halikadhalika na uzee. Lakini hii imekuwa tofauti kwa baahi ya watu mashuhuri ambao wao pamoja na umri kuwatupa mkono lakini wamegoma kabisa kuonyesha muonekano wa kizee.

Tazama Picha zao


Beyonce

Will Smith

Alicia Silverstone

Halle Berry

Jammie Fox

Jennifer Lopez

Pharrell Williams

Sandra Bullock 











No comments:

Post a Comment

Pages