Patty Jenkins ni director wa movie mwanamke anaelipwa pesa ndefu zaidi duniani. Hii imekuja baada ya mwanadada huyo ku sign dili la kusimamia kazi ya Wonder Woman 2. Mwezi September 2017 iliripotiwa kuwa Patty kwenye mazungumzo ya kusign dili hilo aliwekewa mezani mkataba wenye thamani ya $ 8 million na kumfanya avunje rekodi awe mwanamke wa kwanza ambae ni director kulipwa pesa nyingi zaidi.
Wonder Woman 2 inataraiwa kutoka 13 December 2019 . Jenkins amekula shavu hilo baada ya ku direct movie ya kwanza ya Wonder Woman ambayo ilifanya vizuri sokoni kwa kuingiza kiasi cha $ 800 millioni.

Tags
# TeknoFacts
Share This
About Unknown
Mhariri Pia Mwandishi Mkuu Katika Tovuti Hii, Usiache Kupitia Kila Siku Kwa Habari Moto Moto.
Newer Article
WhatsApp Waboresha Zaidi Upande Wa Voice na Video Call
Older Article
Picha : Watu Maarufu Waliogoma Kuzeeka Kabisa
TeknoFacts
Labels:
TeknoFacts
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Comment Using!!