Msimu wa nne wa series ya "Fargo" unarudi mwakani - teknomovies
Msimu wa nne wa series ya "Fargo" unarudi mwakani

Msimu wa nne wa series ya "Fargo" unarudi mwakani

Share This
Msimu wa nne wa series ya Fargo kurudi tena mapema mwaka 2019. Mkurugenzi wa kampuni ya FX Network John Landgraf ameyasema hayo wakati wa Interview wikiendi hii katika ziara yake kwenye Tv.
Landgraf amesema amezungumza na mtunzi wa series hiyo Noah Hawley ambapo amesema anakuja na idea mpya kabisa kuhakikisha anaboresha katika toleo jipya.

Kutokana na ratiba kum'bana Hawley amesema ataachia season ya nne mwaka 2019 ambapo mwaka huu yuko busy na kuandaa movie ya Doctor Doom 

Fargo ni Drama series ambayo S1 ilitoka mwaka 2006, S2 mwaka 2015, S3 Mwaka 2017 na Season ya nne inatarajiwa kuachiwa mwaka 2019.

No comments:

Post a Comment

Pages