Hollywood Review: Filamu ya Maze Runner (2018) - teknomovies
Hollywood Review: Filamu ya Maze Runner (2018)

Hollywood Review: Filamu ya Maze Runner (2018)

Share This
Mwaka 2018 ni mwaka wa movie kali kali tu. Mapema mwishoni mwa mwaka 2017 Twentieth Century Fox  waliachia trela ya filamu yao mpya Maze Runner.
The Death Cure. Dylan O'Brien anarudi tena kama Thomas, ambae katika movie hii ataongoza wenzie katika misheni hatari sana ya kuwaokoa wenzao ambao wako katika Legendary Last City, bila kujua hii inatokea kuwa misheni hatari kuliko zote walizowahi fanya kama 'maze runners'

SOMA PIA: FILAMU ZENYE EDITING MBAYA HOLLYWOOD
Katika mikakati ya kuikamilisha filamu hii, Dylan aliumia sana kiasi cha kusababisha filamu hii kuachwa kushutiwa mwaka jana.Filamu hii ilitakiwa kutoka Feb.17, 2017.
Filamu ya Maze runner ya kwanza kabisaa iliyotoka mwaka 2014 ilizalisha zaidi ya $348 milioni katika Global box office ambayo bajeti yake ya awali ilikuwa $34 milioni. Iliyofuata ambayo iliachiwa mwaka uliofuata ilizalisha zaidi ya $312 milioni katika Worldwide box Office ambayo bajeti yake ya awali ilikuwa $61 milioni.
Tazama hapa Trailer




No comments:

Post a Comment

Pages