Game Of Thrones Season 8 Inarudi 2019 - teknomovies
Game Of Thrones Season 8 Inarudi 2019

Game Of Thrones Season 8 Inarudi 2019

Share This
Katika series maarufu za HBO "Game of Thrones" huwezi kuiacha sasa good news ni kwamba season ya mwisho inaachiwa mwaka 2019.
Kate Authur ametweet kulingana na ripoti iliyotolewa na HBO wenyewe kuwa series hiyo iliyoshinda tuzo za Emmy itarudi baada ya miezi angalau 12 ijayo.



Season ya mwisho itakuwa na Episode 6 ambazo zitakuwa na wastani wa dakika 60-80. David Benioff na Dan Weis wataongoza season hiyo ya mwisho na David Nutter aliyeongoza season 5 atarudi tena kuongoza episode 3 tu.

No comments:

Post a Comment

Pages