The Punisher, Ipo Hapa Pia - teknomovies
The Punisher, Ipo Hapa Pia

The Punisher, Ipo Hapa Pia

Share This
Baada ya Familia yake kuuwawa, Komando wa zamani wa kikosi cha Kijeshi Frank Castle anaanza kuwawinda wote waliohusika na Kifo cha Familia yake na pia anaanza kuwashughulikia wote wanaohusika na Biashara haramu na Matukio ya Ajabu.

Hali hiyo inapelekea kutafutwa na magenge ya Kigaidi huku akifahamika kwa jina The Punisher ambayo ndiyo jina La mchongo huu.

Uliachiwa Novemba 17 ikiwa na 13 Episodes ambazo ziliwekwa zoote katika Mtandao wa Netflix ambao hufanya hivyo kila mara.

Ni Series nzuri sana, Ila pia inahitaji utulie maana kama Unajua Netflix ukiachana na kukudondoshea mchongo mzima ila Pia wanahitaji akili yako bila hivyo utakimbia.

Bonyeza HAPA kupakua mzigo mzima.

No comments:

Post a Comment

Pages