KickBoxer:Retailation Imevuja Pita Nayo Hapa#Pakua - teknomovies
KickBoxer:Retailation Imevuja Pita Nayo Hapa#Pakua

KickBoxer:Retailation Imevuja Pita Nayo Hapa#Pakua

Share This
Kama ulitazama  Filamu ya KickBoxer:Vengeance ambayo ilitoka mwaka Jana basi tayari walikuwa wamepanga kuja na sehemu ya pili ambayo ilitegemewa kutoka mwaka 2018 mwezi Januari tarehe 26 lakini ishu ni kuwa Filamu hiyo tayari imevuja mtandaoni.
Wahuni wameshadondosha mzigo hewani na tayari unapatikana tena ukiwa na ubora wa hali ya juu jambo ambalo linatishia katika mauzo yake ya badae katika filamu hiyo.

PITA HAPA PIA:MFAHAMU MBUZI MWIZI WA MAGARI NIGERIA

Ndani kuna wakali wameongezeka kama Ronaldinho,Mike Tyson kama kawaida Van Damme ndani, Christopher Lambert, Alain Moussi na wengineo wengi tu ambao pia katika filamu ya kwanza walikuwepo.

Bonyeza HAPA sasa Kuweza kushusha mzigo wote mstue na wana.

No comments:

Post a Comment

Pages