Ed Sheeran : Beyonce anabadili Barua Pepe kila wiki - teknomovies
Ed Sheeran : Beyonce anabadili Barua Pepe kila wiki

Ed Sheeran : Beyonce anabadili Barua Pepe kila wiki

Share This
Mkali wa Pop kutoka Uingereza Ed Sheeran amefichua siri kuwa Beyonce ana tabia ya kubadili Barua Pepe(E-mail) kila Wiki hali inayofanya apatkane kwa tabu.
Star huyo wa Pop ambae mapema wiki iliyopita ameachia ngoma mpya na Msanii huyo wa kike ambae analipwa pesa nyingi zaidi Duniani  amefichua namna ambavyo amempata mwanadada na kufanya nae Kolabo.

Kupitia kwenye kipindi cha radio KIIS-FM  cha ET Sheeran amesema

"Nilikuwa na email yake ambayo nilimtumia taarifa lakini ukweli ni kwamba anabadili kila wiki"- Ed Sheeran.

"Baada ya kumtumia alinipigia simu ya kazi ambayo tuliifanya mapema mwezi May"-Ed Sheeran

Kwa upande wa Beyonce yeye hajasema chochote juu ya tuhuma hizo za kubadili email kila wakati


No comments:

Post a Comment

Pages