ELTON JOHN AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI - teknomovies
ELTON JOHN AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

ELTON JOHN AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Share This
Msanii Elton John ametoa taarifa kwa mashabiki zake kuhusu kifo cha Mama yake Mzazi leo Jumatatu.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Elton John ameandika

Ni huzuni sana kusema mama yangu ameaga dunia leo asubuhi, mara ya mwisho kumuona ilikuwa jumatatu iliyopita na nimeapatwa na mshtuko, nenda salama mama Ahsante kwa yote
 Hata hivyo Star huyo hajaweka wazi chanzo cha kifo cha mzazi wake Sheila Farebrother mwenye umri wa miaka 92.

Elton alikuwa na mkwaruzano na mama yake baada ya kukata mawasiliano na marafiki zake Bob Halley na John Reid  ambao mama yake aliwachukulia kama watoto wake

No comments:

Post a Comment

Pages