Unapenda Kusoma Hadithi,Ifahamu Hii App Kwaajili Yako - teknomovies
Unapenda Kusoma Hadithi,Ifahamu Hii App Kwaajili Yako

Unapenda Kusoma Hadithi,Ifahamu Hii App Kwaajili Yako

Share This
Kuna Apps nyingi sana ambazo kila siku zinaongezeka na kila App inakuwa na ubora wake,Lakini kwa leo nakuletea App hii bora ambayo sifikiri kama wengi wanaijua ambayo inapatikana katika soko la Apps la Playstore.
App hii inaitwa,Hadithi App ambayo ni maalumu kwa waandishi na pia wapenzi na wasomaji mbalimbali wa Hadithi ambapo unaweza kusoma Hadithi kwa urahisi zaidi na bila papara yoyote na kizuri zaidi Hadithi zote zimeandikwa kwa kiswahili.

SOMA PIA:PAKUA HAPA FILAMU YA INSIDIOUS

App hii inaonekana kupendwa sana,hasa kwa data ukitazama na kitu bora zaidi ni kuwa kila siku Hadithi mpya zimekuwa zikiongezeka.

Katika App Hiyo utaweza kusoma Hadithi katika Aina mbalimbali kama;

  • Maisha
  • Mapenzi
  • Chombezo
  • Upelelezi
  • Uchawi
  • Mapigano
  • Vichekesho 
Unaweza kupakua App hii kwa kubonyeza HAPA sasa ili uweze kufurahia Hadithi nyingi na mstue na mwenzako kama utakuwa umependa App Hiyo.

Chanzo:Teknokona pamoja na Picha

No comments:

Post a Comment

Pages