Kwa mkazi wa Dodoma sehemu ya kula Bata ni Royal Village - teknomovies
Kwa mkazi wa Dodoma sehemu ya kula Bata ni Royal Village

Kwa mkazi wa Dodoma sehemu ya kula Bata ni Royal Village

Share This
Yes ikifika weekend tunahitaji kupumzika kwa kupata good music, vinywaji pamoja na kupiga stori na washkaji....Sasa good news ni kwamba sehemu pekee itakayokufanya uwe happy muda wote ni Royal Village.

Leo siku ya Jumapili ukiwa Royal Village uta enjoy kwa kutazama movie kali ambazo zote ziko katika ubora wa High Definition (HD)

Saa                                                                        Movie

1:30 Usiku                                                            Mayhem

4:00 Usiku                                                            Blade of the immortal

Kiingilio ni 5,000 tu

Lakini pia katika New Club7 zitachezwa zote kali za uswahilini huku show za ubunifu na mkwanja wa bure ukitolewa kwa washindi

Ladies Free na wanaume wataacha 7,000 mlangoni.

Kwa Upande wa ngalawa Bar kutakuwa na live Band ya wakali TNC Connection Band. Karibu ucheze midundo ya kiafrika Hakuna kiingilio.

 Wote Mnakaribishwa.

No comments:

Post a Comment

Pages