Ali kiba na Nandy waondoka na Tuzo 3 za Afrima 2017 - teknomovies
Ali kiba na Nandy waondoka na Tuzo 3 za Afrima 2017

Ali kiba na Nandy waondoka na Tuzo 3 za Afrima 2017

Share This

Katika usiku wa tuzo za All Africa Music Award (ARIMA) ulitawaliwa na shangwe kufuatia vijana 2 kutoka Tanzania kuondoka na tuzo 3.

Ni Nandy na Ali kiba wameingia kwenye historia hiyo baada ya Nandy kunyakua tuzo ya msanii bora wa kike Afrika Mashariki huku Ali kiba akinyakua tuzo mbili Best Artist or Group in African RnB and Soul Ambayo ameshinda pamoja na rapper wa  Nigeria M.I, tuzo nyingine ni kolabo bora ya Afrika ambayo ni "Aje" aliyofanya na M.I.

List ya washindi wote wa Afrimma itakujia hapa hapa cha kufanya kaa karibu nasi kwa Kudownload Teknomovies App kwenye Google Playstore ili uwe wa kwanza kupata mastori

1 comment:

Pages