PICHA:CRISTIANO RONALDO AKIWA NA MTOTO WAKE WA 4 - teknomovies
PICHA:CRISTIANO RONALDO AKIWA NA MTOTO WAKE WA 4

PICHA:CRISTIANO RONALDO AKIWA NA MTOTO WAKE WA 4

Share This
Cristiano Ronaldo amepata mtoto mwingine huyu akiwa ni mtoto wa nne. Katika kipindi cha mwaka mmoja Cristian amebahatika kupata watoto 3 ambapo wawili ni mapacha Mateo na Eva Ronaldo huku mtoto wake wa kwanza Ronaldo Jr akiwa na miaka 7.

Ronaldo amewashangaza wengi na speed yake ya uzazi akiwa na mzazi mwenzie Georgina Rodriguez 22 ambao mpaka sasa wana watoto wanne.

Tazama picha hapa

Sasa unaweza Kudownload Teknomovies App kwa wewe mtumiaji wa Android cha kufanya nenda Playstore upakue ili uwe wa kwanza kupakua mastori makali.

No comments:

Post a Comment

Pages