Sam Smith Na Albamu Mpya Pita Nayo Sasa#Download Now - teknomovies
Sam Smith Na Albamu Mpya Pita Nayo Sasa#Download  Now

Sam Smith Na Albamu Mpya Pita Nayo Sasa#Download Now

Share This
Hii inakuwa albamu yake ya pili,ya kwanza aliachia mwaka 2015 iliyokwenda kwa jina la In The Lonely Hours ambayo ilikuwa na singo kali ambazo zilisumbua kwa kiasi kikubwa kama Stay With Me,Money On My Mind ambazo ziliweza kushika namba moja katika chati za muziki UK zaidi ya nchi 20 ziliweza kukamata namba moja.
Albamu hii mpya ameachiwa leo, Novemba 03 mwaka huu ambayo inakuja baada ya kipindi kirefu jamaa kuamua kupumzika.

Ina kumi tu,Lakini kama utapata toleo maalumu ina nyimbo 14 ikiwa ni ongezeko la nyimbo 4 zaidi.
Kabla hajaachia albamu aliachia baadhi ya ngoma ambazo bado zinaendelea kukimbiza kama Too Good At Goodbyes pamoja na singo nyingine ya Pray.

Kama kawaida yetu,tumeikamata albamu hii,Ili kuipata Bonyeza  hapo chini kitufe cha Download ili kuweza kuimiliki.


No comments:

Post a Comment

Pages