EXCLUSIVE: FORBES YATOA ORODHA YA WANAWAKE WENYE NGUVU ZAIDI KATIKA BURUDANI - teknomovies
EXCLUSIVE: FORBES YATOA ORODHA YA WANAWAKE WENYE NGUVU ZAIDI KATIKA BURUDANI

EXCLUSIVE: FORBES YATOA ORODHA YA WANAWAKE WENYE NGUVU ZAIDI KATIKA BURUDANI

Share This
Swali kubwa ni nani mwenye ushawishi mkubwa kuliko wenzake katika ulimwengu huu? Sasa taarifa ikufikie kuwa jarida maarufu la FORBES limetoa orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi katika burudani na vyombo vya habari duniani.


Forbes limewataja wanawake 100 wenye nguvu na ushawishi mkubwa katika Burudani na vyombo vya habari duniani,  Beyonce na Taylor Swift wametajwa kama waimbaji wa kike wenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani kwa mwaka 2017.


Nimekuwekea hapa list ya majina 15 a wanawake wenye ushawishi mkubwa.


15 Most Powerful Women In Media/Entertainment

No. 1: Anna Wintour, Artistic Director, Conde Nast

No. 2: Bonnie Hammer, Chair, NBCU

No. 3: Stacey Snider, Chair-CEO, 20th Century Fox

No. 4: Beyonce Knowles, Singer

No. 5: Margarita Simonyan, Editor-in-Chief, RT (Russia)

No. 6: Dana Walden, CEO, Fox Television Group

No. 7: Katharine Viner, Editor-in-Chief, Guardian

No. 8: Donna Langley, Chair, Universal Pictures

No.9: Zanny Minton Beddoes, Editor-in-Chief, The Economist

No. 10: Kathleen Kennedy, President, Lucasfilms

No. 11: Arinna Huffington, Cofounder, Huffington Post

No. 12: Taylor Swift, Singer-Advocate

No. 13: J.K. Rowling, Author-Advocate

No. 14: Shobhana Bhartia, Chair, HT Media

No. 15: Priyanka Chopra, Actor-U.N. Goodwill Ambassador


Kuona list ya majina yote 100 Bonyeza HAPA

Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali na pia Subscribe Youtube Channel ya DM Online Tv

No comments:

Post a Comment

Pages