RAIA WA MAREKANI AKAMATWA ZIMBABWE KWA KUMTUSI MUGABE - teknomovies
RAIA WA MAREKANI AKAMATWA ZIMBABWE KWA KUMTUSI MUGABE

RAIA WA MAREKANI AKAMATWA ZIMBABWE KWA KUMTUSI MUGABE

Share This
Polisi nchini Zimbabwe imemkamata raia wa Marekani kwa kosa kumtolea lugha isiyo na staha rais Robert Mugabe.

Martha O'dovan raia wa Marekani alitumia ukurasa wake wa Twitter kwa kutoa maneno ya kejeli kwa rais Mugabe. Kwa mujibu wa mwanasheria wa serikali ni kwamba raia huyo aliandika "sick man" akimaanisha kuwa rais wa Zimbabwe ni mgonjwa hivyo hawezi kumudu uongozi

Mwanasheria huyo Shava tayari ameshamfungulia kesi Martha kwa kosa la kumtukana rais Mugabe.

Ubalozi wa marekani nchini Zimbabwe umethibitisha taarifa hizo za kukamatwa raia wake

Usisahau Kutufollow Instagram na Twitter @Teknomovies kwa Updates mbalimbali na pia Subscribe Youtube channel ya DM Online Tv

No comments:

Post a Comment

Pages