Picha: Meek Mill akiwa kwenye vazi la Mfungwa - teknomovies
Picha: Meek Mill akiwa kwenye vazi la Mfungwa

Picha: Meek Mill akiwa kwenye vazi la Mfungwa

Share This
Polisi wamethibitisha kuwa rapa Meek Mill yuko kwenye hatua za mwisho za kupelekwa kwenye gereza atakalokaa na kutumikia kifungo cha miaka miwili.

Meek Mill ametumia saa 48 zilizopita katika jela ya Graterford huku magereza mjini Pennsylvania ikisema haita taja jina la jela atakayopelekwa mpaka atakapoingizwa ndani kutokana na sababu za kiusalama na kupunguza fujo za waandishi wa habari.

Hii picha yake akiwa tayari amevalia nguo za njano kwaajili ya wafungwa wapya katika jela ya GraterFord.
Usisahau kupakua Teknomovies App kwenye Google playstore ili uwe wa kwanza kupata mastory makali.

No comments:

Post a Comment

Pages