Kingsman:The Golden Cycle Ipo Hapa Pia. - teknomovies
Kingsman:The Golden Cycle Ipo Hapa Pia.

Kingsman:The Golden Cycle Ipo Hapa Pia.

Share This
Kama ulitizima Filamu ya Kwanza Kingsman:Secret Service Basi hii ni ya Pili ambayo ilipewa jina La Golden Cycle.


Mpaka sasa imevuna Dola milioni $390 kutoka Bajeti ya Dola Milioni $104. Na bado Ni mpya mpya Ikiwa mwisho kabisa iliachiwa Septemba 22 Hivyo pesa inatazamiwa kuongezeka zaidi na zaidi.

Kama unapenda Filamu za Upelelezi lakini humu pamoja na Comedy ipo lakini na sayansi safi unaipata ndani vizuri kabisa.

Bonyeza HAPA Kuweza kuishusha sasa

No comments:

Post a Comment

Pages