Insidious Filamu Kali Ya Kutisha#Download - teknomovies
Insidious Filamu Kali Ya Kutisha#Download

Insidious Filamu Kali Ya Kutisha#Download

Share This
Zipo tatu mpaka sasa,Na nyingine ambayo itaachiwa Mwaka 2018 ambayo itaitwa Insidious:The Last Key.
Hii ni ya kwanza kabisa,kuachiwa Iliachiwa mwaka 2010 na kitu poa zaidi mpaka ikasababisha Kuja zingine zaidi,ni Ilitumia Bajeti ya Dola milioni $1.5 na mauzo iligonga Dola Milioni $95.

Mkali James Wan ambae kaongoza pia michongo kama The Conjuring Ndiye aliyeweza pia kuusimamia Huu mchongo.

Kama unaogopa Filamu za kutisha basi hii nayo usithubutu kukaa kuitizama,au Kama una kaujasiri kwa Ushauri basi tazama na mtu.

Bonyeza Hapo Chini Download Kushusha Mzigo Huu.
http://dl.film2movie.co/film/Insidious.2010.720p.BluRay.Film2Movie_ORG.mkv
 


No comments:

Post a Comment

Pages